Viwanja vya ndege

Viwanja vya ndege

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
1,002
Reaction score
1,092
Nauliza nijuzwe, hivi serikali ina mpango gani kuhusu viwanja vya ndege vya moshi na arusha?au ndiyi mpango wa kuzima maendeleo ya kqnda ya kaskazini kqma vilivyouliwa viwanda?
 
Viwanja gani tena vya Moshi na Arusha mkuu? Moshi ambayo ndo Kilimanjaro mna tayaru KIA na Arusha wana uwanja wao pale mzuri tu na juzijuzi umepanuliwa kwa sasa ndege za ATR, Dash 8 na Fokker zinatua vizuri bila shida. Wewe unataka nini tena ama unataka watu wa Lindi, Ruvuma, Singida waandamane ndo ujue kama wametengwa
 
Yaani mi mwenyewe cjamuelewa anachotaka nini kuhusu hivyo viwanja, bora bornagain umemueleza vizuri, au labda aeleze wanataka nini kuhusu hivyo viwanja.
 
KIA uko poa labda uwanja wa mwanza ndio ufanyiwe matengenezo huna hadhi ya jiji kabisa. 🙁

Sent from my GT-I9300
 
Yaani mi mwenyewe cjamuelewa anachotaka nini kuhusu hivyo viwanja, bora bornagain umemueleza vizuri, au labda aeleze wanataka nini kuhusu hivyo viwanja.
nashukuru kujua wa arusha kama umefufuliwa, bado upo uwanja wa moshi. KIA ni wa kimataifa, vipo viwanja vya ndege vya hii mikoa, uwanja wa moshi umezimika jamani.
 
Back
Top Bottom