Viwanja vya ndege vya dar na zanzibar vitangara muda si mrefu

Terminal III mchina kachomoa.jamaa anasaidia halafu watu wanataka kuvuta.hata kuwekeza ATCL huyo huyo mchina amegoma sababu watu wanaendekeza ulaji binfsi badala ya ulaji taifa.Zanzibar itakuwa safi na wataupita uwanja wa dar.NASIKIA WANADAI WAMEJIVUA MAGAMBA TUONE KAMA HIYO ATCL ITAFUFUKA
 

Kama wachina wamechomoa ni bora hiyo design ipo kama warehouse bora warudi kwenye drawing table waje na design nzuri angalau ipendezeshe hako kajiji ketu. Ma-Architecture wote wameshindwa kuja na something attractive kuliko hii nayoiona hapa kwenye picha?
 
Wamejivua kwenye chama, serikalini bado!
 

kachomoa kufanya nini? kachomoa kujenga au kuwekeza ATCL?

kuna mdau kapita juzi hapo na ujenzi wa terminal 3 unaendelea
nimemkuta anaongelea issue hii maeneo flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…