Viwanja vya maeneo ya Zinga Bagamoyo

Viwanja vya maeneo ya Zinga Bagamoyo

Nje ya box

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
241
Reaction score
251
Kuna ndugu yangu yuko nje ya nchi anataka kununua viwanja Zinga Bagamoyo.

Any advise kuhusu hii sehemu tutashukuru.
 
Kuna utapeli mwingi pale ila awe tu makini maana mradi wa hiyo bandari mpya unapitia hadi maeneo yale kuna maeneo watu wanasubiri kulipwa fidia sasa awe makini na huyo dalari wake watu wanalia sana
 
Kuna utapeli mwingi pale ila awe tu makini maana mradi wa hiyo bandari mpya unapitia hadi maeneo yale kuna maeneo watu wanasubiri kulipwa fidia sasa awe makini na huyo dalari wake watu wanalia sana
Ahsante kwa hii info
 
Bagamoyo kwa sasa kuna utapeli sana...

Mshauri anunue kiwanja bagamoyo sio lazima kiwe zinga ila kilichopimwa
 
niko bagamoyo, zinga ni pm nikuhabarishe vzr!

Mkuu Lulumba Pm ya nini mkuu huu ndio utapeli wenyewe tunaoukataa kwa nini usimsaidie moja kwa moja haya mambo ya Pm hayafai unaficha nini
 
Mkuu Lulumba Pm ya nini mkuu huu ndio utapeli wenyewe tunaoukataa kwa nini usimsaidie moja kwa moja haya mambo ya Pm hayafai unaficha nini

bila kupepesa macho umempa ukweli wake...hapa sio sehemu ya kushabikia zulma
 
Kuna ndugu yangu yuko nje ya nchi anataka kununua viwanja Zinga Bagamoyo.

Any advise kuhusu hii sehemu tutashukuru.

kuna mshikaji wangu mmoja anauza heka 2 hapo kerege upande wa baharin kama unaenda bagamoyo. kipo karibu na Epz tena kACHOKA kweli anadaiwa na bank ungemuotea huyo ungekula shavu
 
Duh!!! duniani kuna watu, lakini Mungu matendo yake yalivo ya ajabu na makuu bado kwa rehema zake anawanyeshea mvua na kuwa angazia jua.

Na washawasha!
 
Back
Top Bottom