Viwanja vya kulenga

Viwanja vya kulenga

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,073
Reaction score
1,563
Habari wakuu.

Wewe kama ni mlengaji wa viwanja nicheki Tajiri tunaweza tukafanya Jambo.

Kuna mzinga unakaribia kubutuka.
Unaweza ukajenga hiko kiwanja Kwa 300 alafu ukauza 500 au 600 kama upepo.Hili bomu likiripuka basi mlengaji ameula.

Nicheki Kwa simu 0754693556

Udalali ni Kazi yangu naipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom