Viwanja vya Honey moon Tanzania tu


ha h ha ha ha ha
 
Hongera zako Mkuu hivyo ndivyo inavyotakiwa. Kwenda viwanja vilivyotulia na wife kujirusha kwa raha zenu wiki au hata wiki mbili kama mfuko unaruhusu.

Hahahahaha! Ukweli sana!

Matema Beach! Nasikia kuzuri. Naenda December hii. Mimi huwa sisubirii honey moon. Kila mwaka mara 2 au 1 lazima twende sehem na muke!
 
Eti honeymoon wakati kitu kimeshakuwa used na ku expire!
 
Siku hizi nimezeeka majukumu mengi sijui hata viwanja,kama hawajawahi kukutana kimwili kabisa kweli wanahitaji sehemu nzuri nadhani Zanzibar watainjoi,ila kama walishakutana hakuna jipya wapelekeni wakafanye utalii Serengeti au Ngorongoro watafurahi sana na kujifunza mengi.
 
Rubondo Isle National Park, pametulia sana na ni sehemu mwafaka kwa wapendanao
 

Hiyo bei una uhakika nayoo
 
Evelyn Salt ..ndio mana resort (not hotel) hua haweweki Tv
 
Last edited by a moderator:
Kupoteza pesa tu,watu wameshabinuana style zote,then wanaenda honeymoon kufanyaje asa?
 

Yaani Honeymoon mwezi, you mean $ 3500 x 30 = Tshs. 3500 x 30 x 1711.50 = 179,707,500 approx. Tshs. 0.18 billion?
 

Mkuu honimoon inahusianaje na kupeana papucci na tarimbo?
 
Hahahahaha! Ukweli sana!

Matema Beach! Nasikia kuzuri. Naenda December hii. Mimi huwa sisubirii honey moon. Kila mwaka mara 2 au 1 lazima twende sehem na muke!
yaa Matema beach ni mahali pazuri sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…