Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Mwambie aende Zanzibar au Arusha au Moshi au Mbeya au mafinga -baridi lina favor magoli mengi
Una uzoefu,Honeymoon ni kuangalia tu mahali tulivu popote.
Sidhani kama kuna cha kufanya kule maana maharusi wote nawaona wakiwa wajawazito ambao wameshachoka kabisa; sana sana ni kupumzika tu.
Honeymoon ni kuangalia tu mahali tulivu popote.

Habari za mchana, usiku, jioni, etc., wana MMU
Nimestaafu rasmi kupost humu MMU, lakini leo nimelazimika kufanya hivyo kwa sababu muhimu kabisa.
Naomba tupeane taarifa kuhusu viwanja vizuri vya Honeymoon hapa nchini. Wewe usiogope, taja hata kama kipo Nyamongo, Ikizu, Msondosondo, Sumbawanga, etc
Cha msingi hapa tunatafuta mazingira ya kipekee kwa ajili ya wawili hao kupeana puchi, tarimbo na manjonjo mengine bila limit.
Nafanya hivi kwa niaba ya ndugu zangu wanaooana hivi karibuni, mie ni mwenyekiti wa kamati. Hela ya Honeymoon tumeshatenga ya kutosha, sasa itatumikaje na wapi?
Msaada wenu tafadhali: tinna cute miss chagga Evelyn Salt mwekundu everlenk Honey Faith nyumba kubwa BADILI TABIA masai dada miss neddy lara 1 Preta Matola mzabzab, na wengine wote.
nenda mbugani mpeane stata mkiona wanyama wanagusana gusana .....
nenda kwa mtogole,uwanja wa fisi kwa dsm, igogo,bugarika,nyakabungo au mabatini kwa mwanza nyangoto,korutambe,nyamwaga,nyamongo kwa mkoa wa mara, kashai,kashozi,rwamishenye, hamugembe mkoa wa kagera achague yeye tu
Tena za huko tamu unapiga ukisikia mngurumo wa simba unakausha unakula rada kwanza manaake hukawii kula mkeo na we ukatafunwa na simba
Ila si unajua tena vile vya wasiwasi vinavyokuaga vitamu???:smile-big::smile-big: