Mimi nina cha kwangu (kiwanja) kipo Kibaha Visiga madafu; approximately robo eka (almost hatua ndefu 44 kwa 46), TSH 8,000,000 fixed price; ni kizuri, karibia km 1 toka main road (morogoro road), karibu na kiwanda cha wachina na godown la Kilimanjaro express, karibu na barabara, umeme upo karibu, pia mtandao wa maji ya bomba. Ni eneo flati na ndani kuna miembe dodo na sindano, inazaa sana, tthamani yake inapanda kila leo coz wawekezaji wengi wanahitaji maeneo hayo, hasa wachina na pia ni mji unaokua sana! 0652656565