a) Vina ukubwa gani
b)Vimepimwa na vina hati
c) Umbali gani kutoka barabara ya morogoro
d) Ni vya kwako au wewe ni dalali
e) Barabara ya kwenda kwenye viwanja inapitika (hata wakati wa mvua)
f) Sehemu vilipo panaitwaje
g) Bei ni shilingi ngapia
h) Pana maji na umeme
Ukitoa taariga kama hizi zitasaidia kwa wale wanaohitaji. Otherwise Tangazo lako halina nyama. Weka details.
5KM kutoka moro road,ukubwa kuanzia heka moja,mtaa vilivyopo ni mtaa wa galagaza,havina hati,miundo mbinu ya umeme na maji inawekwa,mimi ni mmiliki..samahani wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.