Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
Shangaa ww mkuu.Milioni 750
Yani jumla ya square mita ni 3315
Kwa bei hiyo ina maana square mita moja ni 226,244/= yani laki mbili na ishirini kwa mita ya mraba moja.
Eneo ni kibaha mailu moja...
Aseee.
God have mercy upon us.Milioni 750
Yani jumla ya square mita ni 3315
Kwa bei hiyo ina maana square mita moja ni 226,244/= yani laki mbili na ishirini kwa mita ya mraba moja.
Eneo ni kibaha mailu moja...
Aseee.
Hii ipo barabara ya kwenda mwanalugali?Viwanja Vinauzwa.
Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa.
Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu.
Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021.
Nyaraka: Vina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa.
Gharama za kwenda kuona Eneo zitahusika.
Mawasiliano: 0784 829565, 0767 833345, 0627 605807
@prathrealestate
View attachment 3584193
Kule kwetu sqwea mita moja ni milioni saba.Mbona bei ndogo sana!
ππππππMbona bei ndogo sana!
Kila la kheri katika uuzaji