PRODIGY001
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 103
- 196
Karibuni Viwanja safi kabisa, vipo Mkombozi Tambani Mbande, Bei nafuu kabisa, umeme upo, maji yapo FUTI 50X40, 40X30, 5Mil, 4Mil, 2.5 Mil.
Kwa nini usiweke vipimo kwa mita? hizo futi zinapotoshaKaribuni Viwanja safi kabisa, vipo Mkombozi Tambani Mbande, Bei nafuu kabisa, umeme upo, maji yapo FUTI 50X40, 40X30, 5Mil, 4Mil, 2.5 Mil.View attachment 3393553View attachment 3393554
Kwa nini usiweke vipimo kwa mita? hizo futi zinapotosha
Mkombozi ipo chamazi Road, mbandeTangazo lijifafanue vizuri dogo, unadhani sisi watu wa huku kazulamimba tunajua hiyo Mkombozi iko wapi. taja vizuri location, vipimo nk
Ipo mbande, Chamazi RoadMkombozi ndio Tambani ya sehemu gani?
Mkuranga, PwaniMkoa gani? Wilaya gani?
Mkuranga, PwaniMkoa gani? Wilaya gani?
Kaka basi chukua nafasi kujielimisha ili uaminike. Unapima kiwanja kwa Futi?Karibuni Viwanja safi kabisa, vipo Mkombozi Tambani Mbande, Bei nafuu kabisa, umeme upo, maji yapo FUTI 50X40, 40X30, 5Mil, 4Mil, 2.5 Mil.
View attachment 3393553View attachment 3393554
Haahaa......Kazuramimba kwa kina Musa ChesaTangazo lijifafanue vizuri dogo, unadhani sisi watu wa huku kazulamimba tunajua hiyo Mkombozi iko wapi. taja vizuri location, vipimo nk
Ni dunia mbili tofautiMbande ndio karibu na kigamboni ?
Hiyo anwani mbona haipo kabisa au ndiyo kuvutia wateja wajae?Karibuni Viwanja safi kabisa, vipo Mkombozi Tambani Mbande, Bei nafuu kabisa, umeme upo, maji yapo FUTI 50X40, 40X30, 5Mil, 4Mil, 2.5 Mil.
View attachment 3393553View attachment 3393554
Tembea ujionee, mpaka wa temeke na mkuranga upo mbande pia.Hiyo anwani mbona haipo kabisa au ndiyo kuvutia wateja wajae?
Mbande inapatikana Wilaya ya Temeke jijini Dsm wakati Tambani inapatikana Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Madalali mna upotoshaji mwingi sana kwenye matangazo yenu
Hakuna anayebisha hilo, ila usituambie unauza viwanja Kimara Kibaha wakati kibaha haipo kimara na kimara haijawahi kuwa ndani ya kibaha.Tembea ujionee, mpaka wa temeke na mkuranga upo mbande pia.
Kuingia sio lazima upitie vikindu au kisemvule