Viwanja viwanja Morogoro

Viwanja viwanja Morogoro

Kertel

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
5,672
Reaction score
5,570
habarini wakuu,viwanja vinauzwa maeneo ya mkundi karibu na zinakojengwa nyumba kwa ajili ya watumishi umma manispaa ya morogoro.,kiwanja kidogo kabisa kina square mita 575,bei ina range from 3.5m to 4m kadri ya size na hiyo ni bila dalali,
ni pm kwa mawasiliano ya moja kwa moja kwa mwenye viwanja
 
Details hazitoshi, viko vya square meter ngapi na ngapi zaidi ya hicho kidogo? Bei? Etc...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom