Umsema viwanya kisha unasema eneo rote(lote) tukueeleweje kaka? Hebu jipange ili utupe ujumbe unaoeleweka ili tuchangamkie.Ardhi ni mali hakuna utani hapa>
Umsema viwanya kisha unasema eneo rote(lote) tukueeleweje kaka? Hebu jipange ili utupe ujumbe unaoeleweka ili tuchangamkie.Ardhi ni mali hakuna utani hapa>
Kongowe ziko maeneo mawili tofauti ninayofahamu mimi. Ya kwanza ni Kongowe njia ya Mkuranga na ya pili ni Kongowe kule Kibaha!! Sasa unamaanisha ni Kongowe ipi? Na viwanja vina ukubwa gani? Maana inaelekea kuna ekari 60 zinagawanywa viwanza, je vinagawanywaje? Na kama nikitaka shamba lote ni aje? Naamini pale Kongowe ni Halmashauri ya Kibaha na ndiyo maana watu wanataka wauze mashamba chapuchapu kabla ya mpango wa kupima viwanja kuanza siku za usoni!!!
Acha ushamba Guta, toa maelezo ya kujitosheleza, ukitoa maelezo kama hayo utapokea simu mpaka ukasirike. Toma maelezo ya kupunguza watu kwenye foleni. Siku nyingine usirudie.