consigliori
JF-Expert Member
- Mar 29, 2010
- 392
- 90
hamad mfaume sijakupata kabisa..... mbona unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe au wewe ndiye mwanzisha madahttps://www.jamiiforums.com/members/consigliori.html (consiglior)?Ndio vimepimwa
Msamehe,alitaka kujibu kwa ID ya consiglior bahati mbaya akatumia ID ileile ya Hamad Mfaume aliyoulizia swali,Usanii ukianzia JF haujafika kweli kwenye hivyo viwanja?hamad mfaume sijakupata kabisa..... mbona unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe au wewe ndiye mwanzisha madahttps://www.jamiiforums.com/members/consigliori.html (consiglior)?
Kaazi kweli kweli, eti vimepimwa!!!!hili chaka la nguvu...Msamehe,alitaka kujibu kwa ID ya consiglior bahati mbaya akatumia ID ileile ya Hamad Mfaume aliyoulizia swali,Usanii ukianzia JF haujafika kweli kwenye hivyo viwanja?
mhaha haa mbavu zangu isee, hakawii ku ji pm!umenifanya nicheke!mambo ya kuwa na Id 6 unasahau hadi ulichokianzisha mwenyewe!kajiuliza swali badala abadili id ndio ajibu kajikuta kajibu na id ile ile.
hamad mfaume sijakupata kabisa..... mbona unauliza swali alafu unajijibu mwenyewe au wewe ndiye mwanzisha mada (consiglior)?
Msamehe,alitaka kujibu kwa ID ya consiglior bahati mbaya akatumia ID ileile ya Hamad Mfaume aliyoulizia swali,Usanii ukianzia JF haujafika kweli kwenye hivyo viwanja?