Viwanja vinauzwa Yaleyale Puna Temeke Dar es salaam

Viwanja vinauzwa Yaleyale Puna Temeke Dar es salaam

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Viwanja vimepimwa vina hati kabisa Viko kilomita moja kutoka Baharini.

Bei ni kuanzia 10000 kwa sqm.vinaukubwa kuanzia sq 400 na vyote ni kwa ajiri ya makazi.

Karibuni sana.

Contact ni 0769468965,
 
Karibu wakuu viwanja ni bomba sana hivi upepo wa bahari unakifikia bila shida.
 
muongo huyo. Yaleyale Puna ni 50 km.
Huko Mi nakujua Sana hadi Pemba Mnazi

Watanzania sijui tatizo ni elimu ama ni u much know..hivi unadhani hivi viwanja naweza juviuza bila mteja kuja mwenyewe kuona.?Wewe kama huna hela kaa kimya au naenda ukanunue posta unakoona ni karibu wenye akili wananipigia siku na biashara ina fanyika
 
SA anamdanganya nani? si aseme umbali halisi?

Mkuu mi sina sababu ya kudanganya umbali kwasababu mnunuzi lazima atakuja site na kuviona viwanja yeyemwenyew utakuwa kwenye position ya kupima kama panafa amna tofauti yake..karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom