Viwanja vinauzwa vimepimwa na vinahati

Viwanja vinauzwa vimepimwa na vinahati

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
viwanja vilivyopimwa na vina hati vinauzwa.
viko tabata kinyerezi,vinaukubwa wa mtsq 700
bei ni shilingi milioni 27,kwa mwenye uhitaji nifate PM,whatsapp au piga
0714358610
 
Huyu dalali wa kineyerez anadhani hela ni rahisi tu
 
Daaaaaah
No more comment kwa sasa.
27??????????????????
 
Ukipata mteja hata mmoja ni PM nikupe zawadi

Unaijua 27M wewe?!! Sqmt 1 unauza 38,000/=,hata beach plot hawauzi kwa bei hiyo

Kajipange upya.
 
Ndio maana kila mara anapitia kuipa uhai post yake maana wateja wamesusa kutokana na bei
 
viwanja vilivyopimwa na vina hati vinauzwa.
viko tabata kinyerezi,vinaukubwa wa mtsq 700
bei ni shilingi milioni 27,kwa mwenye uhitaji nifate PM,whatsapp au piga
0714358610

===> U revealed hw ignorant u are....!!! even very simple daily maths u failed, imagine, totally zero headed
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom