VIWANJA VINAUZWA TABATA NA KEKO

Jun 27, 2016
30
81
Tabata kisukulu sqm 1500 kina hati ya serikalini bei 16m fixed price

Keko madawa kina sqm 900 kina leseni ya makazi. Ni sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa vyumba vya kupanga kipo bondeni gari haifiki mpaka kiwanjani. Ukitaka kujenga vyumba vya wapangaji itakugharimu kama 15m baada ya hapo utapokea kodi ya elf 40 kwa mwezi kwa vyumba kumi maisha yako yote. Bei 5m fixed price.

NB: mmiliki wa viwanja vyote ni mtu mmoja anahama nchi.
0717385375
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom