Viwanja vinauzwa Morogoro mjini

ferg

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
1,329
Reaction score
1,819
Habari za jioni wadau,

Kuna viwanja viwili vyenye ukuwa wa 70×35(m). viwanja hivi viko morogoro mjini maeneo ya mkundi cct forest.

Kwa anaehitaji ani PM

Asante
 
Habari za jioni wadau,

Kuna viwanja viwili vyenye ukuwa wa 70×35(m). viwanja hivi viko morogoro mjini maeneo ya mkundi cct forest.

Kwa anaehitaji ani PM

Asante
Sasa kumbe iko kwenye gazeti unataka kuwalangua wenzako. Mtu mwema ungelisema jamani kuna viwanja, tangazo hili soma wenyewe! Lakini asante maana sio wote wangelipata taarifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…