Viwanja Vinauzwa Mkuranga mjini!

Viwanja Vinauzwa Mkuranga mjini!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
441
Reaction score
118
Wakuu heshima mbele.
Kuna viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mkuranga kuanzia square meter 500 hadi 1000 na kila square meter moja ni shilingi 5,000/= . Kwa mawasiliano pm inahusika zaidi
Nawasilisha
 
Samahani kwa kuuliza ndugu yangu ila huo uuzaji upo katika mpango wa serikali au ni mpango gan na je hati zinatolewa???Ntashukuru sana kama nikipata majibu toka kwako.
 
Back
Top Bottom