bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha............!!!!! humu jf kuna raha sana eti ngoja Dr.Luis aje duh...leo nimecheka kutoka moyoni mpaka machozi. Kwa yanayonikabili sikutegemea kama mwaka huu ungemalizika ningepata fursa ya kucheka kwa dhati namna hii.....duh....na hii ni kwasababu nilikuwa serious namfuatilia sana huyo mshinda mnada wa nyumba za lugumi, Dr.Luis tangu jana...na nilipata taarifa zake alikuwa hana mchezo kwenye mnada hacheki wala haombi discount....jf ni kila kitu asante Kiongozi Frank lion..Ngoja dr luis aje[emoji16][emoji16]
Yule mzee kaniongezea siku za kuishi aiseeha,ha,ha,ha,ha,ha,ha............!!!!! humu jf kuna raha sana eti ngoja Dr.Luis aje duh...leo nimecheka kutoka moyoni mpaka machozi. Kwa yanayonikabili sikutegemea kama mwaka huu ungemalizika ningepata fursa ya kucheka kwa dhati namna hii.....duh....na hii ni kwasababu nilikuwa serious namfuatilia sana huyo mshinda mnada wa nyumba za lugumi, Dr.Luis tangu jana...na nilipata taarifa zake alikuwa hana mchezo kwenye mnada hacheki wala haombi discount....jf ni kila kitu asante Kiongozi Frank lion..
Tshs 70,000,000/ Sqm 1,500Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1500. Pia kina servant quarter ya chumba kimoja kiwanja kimekaa mahali pazuri sana hapakai maji. Kina hati ya serikali. Clean title deed. Price 70milion . Contact me thrue this no +255712464777
+255769070247
+255628086697 call any time.View attachment 626335View attachment 626337View attachment 626339
Mkuu unashangaa au? Na kama unashangaa, kipi kinakushangaza hapo?Tshs 70,000,000/ Sqm 1,500
= Tshs 46,666.67/ Sqm 1
Kwenye comment yangu hakuna alama ya mshangao pale Mkuu,Mkuu unashangaa au? Na kama unashangaa, kipi kinakushangaza hapo?
Ghali...Tshs 70,000,000/ Sqm 1,500
= Tshs 46,666.67/ Sqm 1
Oh sawasawa mkuuKwenye comment yangu hakuna alama ya mshangao pale Mkuu,
Nimesaidia tu kufafanua ile bei