Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni

rukondo

Senior Member
Sep 7, 2012
136
14
Nauza Viwanja vilivyo pimwa Kigamboni nyuma ya utumishi housing mwongozo, Sqm 800 kwa million 16 na sqm 825 kwa million 20 location tofauti.karibuni sana mawasiliano 0712545474
 
Vipi maeneo ya mikwambe au tuangoma hadi kwa pinda vilivyopimwa bei ya chini ni sh ngapi mkuu
 
Nauza Viwanja vilivyo pimwa Kigamboni nyuma ya utumishi housing mwongozo, Sqm 800 kwa million 16 na sqm 825 kwa million 20 location tofauti.karibuni sana mawasiliano 0712545474
Utumishi housing Mwongozo nadir mane gani mkuu...naomba nieleweshe
 
Kigamboni now kupata viwanja vya M5 ni shughuli kama huna 10M hupati kiwanja kabisaaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom