Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,973
- 30,154
Kwenye ule uzi mwingine huyu jamaa anauza 18mil kiwanja hikihiki tuNdio maana wakina Bashe wanalialia, Huko kwenye real Estate ndio wapigaji walikuwa wanaficha mapesa yao.
Kwenye ule uzi mwingine huyu jamaa anauza 18mil kiwanja hikihiki tuNdio maana wakina Bashe wanalialia, Huko kwenye real Estate ndio wapigaji walikuwa wanaficha mapesa yao.
Mkuu kuna uzi mwingine humu,vimepanda kwa m 18 nowHivi Viwanja mpaka ikifika January 2017 tutavinunua kwa Tshs 3mil each
Nimeuona aisee,Mkuu kuna uzi mwingine humu,vimepanda kwa m 18 now
Kibamba ipi mkuu??Mkuu unamaanisha 6.5m?
mimi nauza Kibamba 20X20m kwa 2m.
utapata hati ya serikali ya mtaa. Huduma za jamii km barabara,maji na shule zipo karibu kabisa.Barabara inapita eneo la tukio.
Karibuni.