Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo

Viwanja vinauzwa kigamboni mwembe mdogo

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,212
Reaction score
31,529
Mpgie 0688151545
 
Attachments

  • 1475474188355.jpg
    1475474188355.jpg
    25.8 KB · Views: 265
  • 1475474194391.jpg
    1475474194391.jpg
    23.6 KB · Views: 300
View attachment 411253View attachment 411254Viko 1.5 km from dege beach house project.
Viko 200m toka barabara inayoelekea Avic town.
Vina mkataba wa mauziano na hati ya serikali ya mtaa.
Ukubwa 30*30 m kila kimoja.
Bei 6.5 kila kimoja.
Viko flat.
Wasiliana na muuzaji kwa 0688151545

Mkuu unamaanisha 6.5m?

mimi nauza Kibamba 20X20m kwa 2m.
utapata hati ya serikali ya mtaa. Huduma za jamii km barabara,maji na shule zipo karibu kabisa.Barabara inapita eneo la tukio.
Karibuni.
 
Mkuu unamaanisha 6.5m?

mimi nauza Kibamba 20X20m kwa 2m.
utapata hati ya serikali ya mtaa. Huduma za jamii km barabara,maji na shule zipo karibu kabisa.Barabara inapita eneo la tukio.
Karibuni.
Sasa mkuu si ungeanzisha thread yako kuwa unauza kibamba[emoji23] yani ni sawa nipange frem wewe uje uweke bidhaa zako sawa na zangu mbele ya frem yangu
 
Mkuu unamaanisha 6.5m?

mimi nauza Kibamba 20X20m kwa 2m.
utapata hati ya serikali ya mtaa. Huduma za jamii km barabara,maji na shule zipo karibu kabisa.Barabara inapita eneo la tukio.
Karibuni.

Kwa Matiasi 25x25 kwa 1.9M.
 
Mkuu unamaanisha 6.5m?

mimi nauza Kibamba 20X20m kwa 2m.
utapata hati ya serikali ya mtaa. Huduma za jamii km barabara,maji na shule zipo karibu kabisa.Barabara inapita eneo la tukio.
Karibuni.
Naomba namba yako ya simu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom