Viwanja vinauzwa Kibaha

Viwanja vinauzwa Kibaha

Activits

Senior Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
195
Reaction score
51
Habari wana jamvi,

nina viwanja vilivyopimwa nauza kwa bei ya tshs 6,500/= kwa mita ya mraba. Viwanja hivyo vipo kibaha msangani. Kwa maelezo zaidi nipigie 0755 939 001
 
Habari wana jamvi,

nina viwanja vilivyopimwa nauza kwa bei ya tshs 6,500/= kwa mita ya mraba. Viwanja hivyo vipo kibaha msangani. Kwa maelezo zaidi nipigie 0755 939 001
Mara hii ishafikia hiyo bei?
Last month nilinunua kwa Tshs 5,000/Sqm maeneo hayohayo unaingilia pale karibu na ujenzi!!
 
Mara hii ishafikia hiyo bei?
Last month nilinunua kwa Tshs 5,000/Sqm maeneo hayohayo unaingilia pale karibu na ujenzi!!

Mbona hiyo bei rahisi sana kuna vilivyopimwa na kampuni moja na kuzinduliwa na mkuu wa mkoa vinauzwa tshs 13,500 kwa sqmt.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom