Mimi ni mmoja wa watu wachache wanaomfuatilia kwa ukaribu dalali radhiya, Dalali mbeya jiji, pamoja na yule Dalali wa mjini! Hawa madali ni watata sana linapokuja suala la bei, na pia 10% 😁Dalali radhiya, hivi mbona wewe bei za bidhaa zako zinakuwa zimechangamka kuliko uhalisia?
Mimi ni mmoja wa watu wachache wanaomfuatilia kwa ukaribu dalali radhiya, Dalali mbeya jiji, pamoja na yule Dalali wa mjini! Hawa madali ni watata sana linapokuja suala la bei, na pia 10% 😁
Mkuu nashukuru Kwa kunifatilia lakini sijawahi kuandika malipo yangu hapa japo kuwa inaeleweka.Mimi ni mmoja wa watu wachache wanaomfuatilia kwa ukaribu dalali radhiya, Dalali mbeya jiji, pamoja na yule Dalali wa mjini! Hawa madali ni watata sana linapokuja suala la bei, na pia 10% 😁
Tate mkuu, Endapo hujafanya utafiti huna haki ya kuongea. Ww ni mwanaume acha tabia za kike. Je umewahi fanya biashara yoyote na hao madali uliowataja? Acha kukurupuka.Mimi ni mmoja wa watu wachache wanaomfuatilia kwa ukaribu dalali radhiya, Dalali mbeya jiji, pamoja na yule Dalali wa mjini! Hawa madali ni watata sana linapokuja suala la bei, na pia 10% 😁
Tafuta kwanza hio hela mzee eroni...Hiyo 750m ni kila kiwanja au vyote kwa pamoja?
Acha kudharau Kazi yanguDalali wapuuzi sana, bei halisi ya maeneo au nyumba hawajui, ndio maana madalali wengi hasa Dar wamechoka sana, sbb hawapati wateja, wanataja bei hata hawajui kabisa bei halisi ya maeneo, ni nyoko sana