Viwanja vinauzwa Kibaha Madafu

Viwanja vinauzwa Kibaha Madafu

burtons

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
280
Reaction score
86
Wanajamii forum's kuna viwanja vitatu vinauzwa kibaha madafu. Ambavyo vinaurefu na upana wa "20 kwa 20" bei ni 1,500,000/= kwa maelezo zaidi nipigie kwa hii namba 255756417990
 
Elezea kama kuna miundombinu, mfano Umeme, barabara, maji nk. Mimi binafsi natafuta eneo kibaha
 
Umeme upo mkuu piaa na maji pia yapo kwa kifupi huduma muhimu zipo maana kuna kiwanda cha nondo pia kuna shule ya advance
 
Umbali kutoka kibaha Center?, au kutoka barabara kuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom