Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,138
- 365
Vina ukubwa kuanzia mita za mraba 700 mpaka mita za mraba 1800. Vipo umbali wa km 3 kutoka barabara iendayo Bagamoyo au Bagamoyo Road. Vimepimwa na kutolewa ofa letter of offerimebakia hatua ya kukabidhiwa hati miliki. Bei ya viwanja: mita moja ya mraba inauzwa Tshs 7000. kwa hivyo mfano hicho cha mita za mraba 700 kitauzwa 4,900,000/= na hicho chenye ukubwa wa mita za mraba 1800 kitauzwa 12,600,000/=. Mita za mraba 1800 zinakaribia kwa uchache kuwa nusu eka. Ukitaka kuviona piga simu hii:0755312233. au info@kitomai.com