Dalali mbeya jiji
Member
- Mar 18, 2025
- 66
- 35
Iwambi ndo wapi?Viwanja vinauzwa Iwambi, vipo viwanja 15 @ sq 25000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
Lwambi ni wapi? Vina hati? Huduma muhimu kama umeme, usafiri na maji zipo? Umeandika kama vile unakimbizwa. Andika tangazo lijitosheleze!Viwanja vinauzwa Iwambi, vipo viwanja 15 @ sq 25000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
NI baada ya malawi cargo upande wa kuliaIwambi ndo wapi?
Baada ya Malawi ni msumbiji au ZambiaNI baada ya malawi cargo upande wa kulia
Ningeelewa nisingeandika nilichoandika; na kuuliza nilichouliza. Ukiweka tangazo hakikisha linajibu maswali yote ya msingi. Advertising 101!📌Naandika kama najimbizwa. Mbona umesoma na kuelewa
Shida yako na wewe dalali una jeuri sana! jamii forums ina mkusanyiko wa watu kutoka maeneo mengi ya nchi, na pia nje ya nchi! Na haijabebwa na watu wa Mbeya tu!Kuwa serious na maswali unayouliza tafadhali
Naamini atafanyia kaziShida yako na wewe dalali una jeuri sana! jamii forums ina mkusanyiko wa watu kutoka maeneo mengi ya nchi, na pia nje ya nchi! Na haijabebwa na watu wa Mbeya tu!
Unapoweka tangazo lako, waambie watu ya kwamba hiyo Iwambi inapatikana katika Jiji la Mbeya kama unaenda Mbalizi, ok?