Check PM yako.
Sijakupata vizuri kama unamaanaisha eneo hilo linaitwa Goba madale au unavyo hivyo viwanja kwenye eneo la Goba na eneo la Madale. Natumaini utatujilisha sawia.
Viwanja vinauzwa Arusha
1.Sanawari ya juu kimepakana na Enaboishu Sekondari 15MX20M Bei 7ml Umeme na maji vinapatikana.
2.Kwamrombo 20mx15m Bei 7ml.DALALI HATAKIWI.