Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa gezaulole

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Jan 19, 2012.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 900
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Vipo vitano vimepimwa na vina hati miliki. Kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1200. Bei 12mil kwa kimoja.
  Huduma ya umeme ipo karibu. Viwanja vipo umbali wa kilomita 12 kutoka feri. Karibu kununua kabla ya daraja halijakamilika. Mawasiliano.0717114409
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kitomai hivi vimepimwa katika mradi wa serikali au mtu kapima kibinafsi?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,407
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  Ntakuja kuviona,nashuka wapi nikja?
   
 4. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kitomai uko wapi? Nasubiri jibu la swali langu hapo juu.
   
 5. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,580
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kitomai,

  Ebwana nakupigia simu kuhusu hivyo vya gezaulole, umeme uko umbali gani.
   
 6. afrolife

  afrolife Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  usidanganye watu, huduma ya umeme ipo karibu?? ni umbali gani kutoka geza juu mpaka huko kwenye viwanja vya manispaa??
   
Loading...