Viwanja vinauzwa Dar es salaam

Viwanja vinauzwa Dar es salaam

Genchi

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
95
Reaction score
47
kwa mahitaji ya kiwanja au mashamba kwa dsm..
Viwanja vinauzwa kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda cha bakhresa,
Ukubwa ft 50×50 bei mil.3,
Mashamba yanauzwa kigamboni kimbiji,
Ekari moja mil.5 maongez yapo,
0683 775566,
0714 775566.
Wote mnakaribishwa na upatapo habari mjulishe na mwenzio,
Asante
 
Kwa atayehitaji anicheki 0683775566
 
We jamaa puna ulipotea kabisa sikuhizi!!unauza viwanja mwandege sikuhizi!???ama kweli jf ni ndogo sana!!
Huko ndiko niliko nunua mm pia,
Ni mjini unafanya kaz zako na kurud nyumbani co puna long distance to town
 
b74fed39340d7dbc9e430eb7fc042c01.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom