Viwanja vinauzwa chamazi

Viwanja vinauzwa chamazi

MY LOVE

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
161
Reaction score
68
viwanja vinauzwa chamazi, kila kiwanja kina barabara, umeme upo jirani, maji pia yanapatikana kwa urahisi. Ukubwa ni ft 50 kwa 50 sawa na meter 15.24 kwa meter 15.24. Bei ni 7m. Vipo 6 ukitaka zaidi ya kimoja unaweza kuunganisha. mawasiliano 0681 004080
 
viwanja vinauzwa chamazi, kila kiwanja kina barabara, umeme upo jirani, maji pia yanapatikana kwa urahisi. Ukubwa ni ft 45 kwa 52 na 40 kwa 50. Bei ni 9m na 8m. Vipo 6 ukitaka zaidi ya kimoja unaweza kuunganisha. Kwa anayetaka ani pm nimpe mawasiliano.

nipe mawasiliano yako halafu hivyo vipimo ni sq.m au
 
Viwanja vyenye ukubwa wa ft 50 kwa 50 vinauzwa chamazi mjini,

Sio mbali kutoka barabara kuu,

kila kiwanja kina angalia barabara, umeme na maji vipo.

Ni vyangu mwenyewe sio dalali.

Bei ni 7m. Mawasiliano 0681004080.
 
1 ft (foot) = 0.3048 Meter,
40 ft (feet) = 12.192 Meters
45 ft (feet) = 13. 716 Meters
50 ft (feet) = 15.24 Meters

Vuta picha la container la futi 40 (40 ft Container)!
Asprin


viwanja vinauzwa chamazi, kila kiwanja kina barabara, umeme upo jirani, maji pia yanapatikana kwa urahisi. Ukubwa ni ft 45 kwa 52 na 40 kwa 50. Bei ni 9M na 8M. Vipo 6 ukitaka zaidi ya kimoja unaweza kuunganisha. Kwa anayetaka ani PM nimpe mawasiliano.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom