Square mita moja elfu kumi(10,000) are you serious tena Buswelu kijijini, bei ya Beach kabisaaSquare meters moja 10000
Mkuu umetoka mwanza mjini lini.mbona mji unahamia busweru.Busweru sio kijijini hata kidogo .tena Kwa beach za mwanza tena zile za mbali na mji sqm 70000. Mfano beach za capripoint ni laki Kwa square mojaSquare mita moja elfu kumi(10,000) are you serious tena Buswelu kijijini, bei ya Beach kabisaa
Mfano beach za capripoint ni laki