Viwanja vinauzwa bunju vimepimwa

gugumaji

Member
Oct 25, 2012
21
15
Viko vitatu size yake ni 4339sqm cha pili ni 2374sqm na kingine ni 2723sqm..Viko barabarani maeneo ya wazohill unaweza kuwasiliana N PM
 
Wazo Hill tena huko ndo hakufai hata kama vingekuwa vimepimwa na mpima ramani wa Tanzania
 
tangazo limekaa kitapeli sana funguka vizuri ili watu wakuelewe na kukuamini basi?? Kwanza umeanza kuboronga heading na habari vinatofautiana pili tangazo halija jitoshereza liongezee nyama basi??naona umekimbilia kuandika namba zako za sim?? Vitu kama bei ni muhim ?? Ama unataka tuamini kwamba wew ndio wale wale madalali njaa ??/matapeli??
 
Bei ya kiwanja inaanzia milioni 40 Ila kuna maelewano
 
Makosa ya kichapaji Katika heading ni kweli Ila Viwanja viko goba sio bunju jamani na bei vinaanzia million 40 tena viko barabarani njia ya kwenda wazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom