Habari!! Nauza viwanja Arusha Manispaa karibu na kiwanda cha A to Z. Bei 20m×25m ni milioni 10. Vipo 3 vilivyoungana....umeme na maji ipo...barabara ya lami ipo umbali wa 1Km na kutoka Arusha mjini ni 10Km. Karibuni...ishi Arusha na familia sehemu tulivu, mji wa Kitalii. Mawasiliano 0786224248