CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Wadau habari zenu!
Nahitaji pesa haraka kwa ajili ya kulipia registration (usajili) Chuo ili nimalize module niliyoilaza toka 2013 - Univesity of Pretoria (South Africa).
Pesa ambayo ilishatumika ktk course hiyo hadi sasa ni zaidi ya 20,000,000 Tshs, kwa sababu zisizoweza kuzuilika/ kuepukika nimejikuta nakuwa ktk mazingira ambayo nimekosa hiyo pesa ya registration kwa mwaka huu ili nimalize hiyo course ....
Nauza viwanja vyangu viwili vilivyoko Visiga - Kibaha (surveyed, no title deed).
Viko pamoja na viwanja vingine zaidi ya 100 ambavyo kuna mzee aliamua apime sehemu ya eneo lake lenye zaidi ya ekari 100 - ktk hiyo plan kuna viwanja vya shule na huduma zingine za jamii. Viko umbali wa < 2km toka Morogoro road. Kuna barabara iliyochongwa kuelekea kwenye hivyo viwanja ambavyo vina mitaa kadhaa yenye barabara nzuri kubwa tu zilizopangwa vizuri.
Current value (kutokana na wataalam wa tathmini ya thamani) is 6,000 Tshs/sqm
Nina viwanja vyenye ukubwa ufuatao na ninauza kwa bei hii:
(1). Sqm 1,500 : 7,000,000/=
(2). Sqm 900 : 4,000,000/=
N.B: Price is negotiable (kwa kuwa nina shida sana na pesa)
Kwa mawasiliano zaidi: 0763718328