simulizibongo
Member
- Jun 13, 2020
- 22
- 34
Bei kubwa sana 5000 kwa square mita tena ddomaKwa mahitaji ya Viwanja ndani ya jiji la Dodoma nunua kupitia kampuni ya #BlueSkyRealEstate. Viwanja ni vya uhakika na unaweza kulipia kidogo kidogo mpaka mwaka mmoja (Miezi 12). Kama utalipia cash utaweza kupata punguzo la mpaka kufikia asilimia 10%.
Kampuni imepima na inauza viwanja maeneo ya fuatayo
*NALA
*MTUMBA
*MAHOMA MAKULU
*VIKONJE
*CHAHWA
*IPALA
*NA IYUMBU.
Bei zetu ni kuanzia Sqm.1 kwa Tsh 5000 na kuendelea
Karibuni sana #BlueSkyRealEstate kwa viwanja vya uhakika.
Kwa mawasiliano tutafute kupitia
0719214183 Call/whatsap
Au fika ofisi yetu iliyopo CCT house karibu na stendi ya daladala ya General Hospital
Karibuni sana
Kama unaishi dodoma kweli huwezi kushangaa bei ya 5000 kwa Square mita tena kulipia kidogo kidogo mwaka mzimaBei kubwa sana 5000 kwa square mita tena ddoma
Kweli kiwanja 20×20= bei iwe 20m hiyo ni bei ya 30×30 dar kigamboni Goba nk ila sio dodoma.Kama unaishi dodoma kweli huwezi kushangaa bei ya 5000 kwa Square mita tena kulipia kidogo kidogo mwaka mzima
Piga hesabu zako vizuri mkuu 20 kwa 20 ni sawa na square mita 400. Piga 400 mara 5000 ni sawa na 2M hiyo 20 inatoka wapi mkuu?Kweli kiwanja 20×20= bei iwe 20m hiyo ni bei ya 30×30 dar kigamboni Goba nk ila sio dodoma.
Kumbe sawaPiga hesabu zako vizuri mkuu 20 kwa 20 ni sawa na square mita 400. Piga 400 mara 5000 ni sawa na 2M hiyo 20 inatoka wapi mkuu?
Hivi mnavyouza 5000 per square meter ni maeneo yapi kati ya uliyoyataja?Piga hesabu zako vizuri mkuu 20 kwa 20 ni sawa na square mita 400. Piga 400 mara 5000 ni sawa na 2M hiyo 20 inatoka wapi mkuu?
Kweli kiwanja 20×20= bei iwe 20m hiyo ni bei ya 30×30 dar kigamboni Goba nk ila sio dodoma.
... muombane msamaha maisha yaendelee!Piga hesabu zako vizuri mkuu 20 kwa 20 ni sawa na square mita 400. Piga 400 mara 5000 ni sawa na 2M hiyo 20 inatoka wapi mkuu?
#Chahwa na ipala #Nala 6000Hivi mnavyouza 5000 per square meter ni maeneo yapi kati ya uliyoyataja?
Kiasi gani cha malipo kinaruhusiwa kwa kuanzia?#Chahwa na ipala #Nala 6000
Mkuu si uweke tu unit price ya kila eneo badala ya hadi watu waulize?#Chahwa na ipala #Nala 6000
Instagram tunatumia #BlueskyrealestateMna account Instagram tuweze ona viwanja?
Kati ya maeneo hayo umetaja, yapi ni maeneo yenye wakazi wa hali ya juu, viwanja vyake au nyumba sio changanyikeni?
Kwa mwanzo unaanza kulipia asilimia 40% ya Total price alafu asilimia 60% unalipia ndani ya miezi 11 hiyo 60% tutaigawa ndani ya miezi 11 iliyo baki, ukiwa na ombi pia tutakusikilizaMfumo wa kulipa kidogo kidogo upoje??..
Nikilipa saiv laki 6 afu baada ya miezi 9 nkaja kumalizia Kuna ubaya?
-Nala ni Tsh 6,000Mkuu si uweke tu unit price ya kila eneo badala ya hadi watu waulize?
*NALA
*MTUMBA
*MAHOMA MAKULU
*VIKONJE
*CHAHWA
*IPALA
*NA IYUMBU.
Instagram tunatumia #Blueskyrealestate
Unaruhusiwa kulipia asilimia 40 ukiwa unaanza asilimia 60% unalipia ndani ya miezi 11 ukiwa na ombi pia tutakusikilizaKiasi gani cha malipo kinaruhusiwa kwa kuanzia?
Mtumba na mahoma makulu vikonje pia nikaribu na wizara zoteMna account Instagram tuweze ona viwanja?
Kati ya maeneo hayo umetaja, yapi ni maeneo yenye wakazi wa hali ya juu, viwanja vyake au nyumba sio changanyikeni?
Nitafutie kiwanja nzuguni 20*20 mkuuPiga hesabu zako vizuri mkuu 20 kwa 20 ni sawa na square mita 400. Piga 400 mara 5000 ni sawa na 2M hiyo 20 inatoka wapi mkuu?