Viwanja nauza viwanja dege kigamboni

Viwanja nauza viwanja dege kigamboni

rukondo

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
136
Reaction score
14
VIWANJA VIKO KIGAMBONI DEGE 30 kwa 40 na 30 kwa 26 bei million 7 kila kimoja na heka 1 nyuma ya magorofa ya nssf dege bei ni million 23 nashida zangu kibiashara siitaji dalali, Simu 0787321020
 
VIWANJA VIKO KIGAMBONI DEGE 30 kwa 40 na 30 kwa 26 bei million 7 kila kimoja na heka 1 nyuma ya magorofa ya nssf dege siitaji dalali simu 0787321020
 
Duh! 23M si mchezo, hii miradi ya mashirika itafanya tusinunue viwanja.

Chukua 7M kwa viwanja hivyo viwili 30x40 na 30 x 26.

Nicheki PM Kama Upo tayari
 
Uhitaji dalali au we ni dalali Mkuu!

Ovaa
 
H
Duh! 23M si mchezo, hii miradi ya mashirika itafanya tusinunue viwanja.

Chukua 7M kwa viwanja hivyo viwili 30x40 na 30 x 26.

Nicheki PM Kama Upo tayari
Hapana ndugu bei hiyo bado jitaidi ufike 12 million
 
Uhitaji dalali au we ni dalali Mkuu!

Ovaa
Madalali ukiwahusisha wanapandisha bei unachelewa kuuza bila sababu za msingi That's why siwataki ni vyangu mwenyewe ndugu
 
Mkuu huko vilipo hivyo viwanja ni km ngapi kutoka ferry
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom