Viwanja na Nyumba
Member
- Apr 4, 2012
- 56
- 3
Numbr yenu haipatikani.
mi nahitaji kiwanja mjini tabora medium size.. Kiwe kimepimwa, Kisiwe kinajaa maji na kiwe kinafikika kwa gari.. Pesa niliyonayo ni 2m kushuka chini..
Ninahitaji plot maeneo ya mkoa mpya wa KATAVI karibia na sehemu moja inaitwa Stalike kijiji kinachopakana na Mpimbwe kwa Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda vipi ntapata?
mkuu piga picha,utuletee humu hizo nyumba,lol nimeegundua matangazo yale yaliyokuwa na picha yaliuzwa mapema kuliko yasiyo na picha,ungekuwa unaupdate hii thread kwa picha za nyumba ulizonazo ungepata wateja au ungefungua blog...
Kama unatafuta kiwanja au unataka kununua nyumba, pia kama unauza kiwanja au nyumba popote Tanzania, tuma ujumbe wako kwenda 0718 - 617 522 au email: viwanjanyumba@gmail.com
Bei nzuri ya soko itazingatiwa. You are all welcome, thank you very much indeed.
Masharti yote ya usajili na leseni ya biashara kama 'Commission Agent' chini ya Wizara ya Biashara na Viwanda yamezingatiwa.
Haki ya muuzaji/mnunuzi imezingatiwa kwa mujibu wa sheria za biashara nchini Tanzania.
Pia kwa wale wanaopenda na wenye uwezo wa kuwekeza katika sekta ya madini tutawapa ushauri kwa gharama nafuu jinsi ya kuweza kumiliki maeneo yenye madini na taratibu za kupata 'Prospecting Licence' toka wizara ya Nishati na Madini. Karibuni sana wadau.
Plz nahitaji quotations za viwanja kule mbeya sehemu ya Isyesye na hapa dar sehemu ya kinyerezi