Ngondonyoni
Senior Member
- Feb 16, 2016
- 120
- 74
Ndugu, viwanja viwili vipo nyuma ya Uporoto hapo Dar vilivyoungana. Kila kiwanja kina nyumba ambayo ina room tatu, sebule na choo na jiko. Kila kiwanja kina mita ya miraba elfu nne na kina hati ya ardhi.
Kila kimoja kinauzwa milion 300 au best offer. Tafadhali piga 0763821010 kwa maelezo zaidi Au uliza hapa.
Kila kimoja kinauzwa milion 300 au best offer. Tafadhali piga 0763821010 kwa maelezo zaidi Au uliza hapa.