Taja bei mkuu ila kiswahili hiko duu!
Matapeli utawajua tu. Kwanini usiseme vyenye ukubwa flani bei inaanzia hapa au kuna mazungumzo!
Tapeli tu
mbona kenye thread yako ya kutafuta magari mawili hakuna mtu aliyekuita tapeli
be careful
Umeongea mkuu,
Kama kigezo cha kumuita mtu tapeli ni bei hata yeye hajaweka bei pia
mbona kenye thread yako ya kutafuta magari mawili hakuna mtu aliyekuita tapeli
be careful
Because I am a serious BUYER. Do you have those cars Sir/Madam?