Viwanja na Mashamba Bei ya Kutupa!!

Viwanja na Mashamba Bei ya Kutupa!!

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,319
1.Hekari 10 kipo mbutu beach bei ni mil50
2.Hekari 300 bei sh 450mil
3.Kiwanja cha kupimwa beach plot no 3 unayaona maji sqm 4500 bei sh 60mil
 
Mmh hii Mbutu ndo iko wapi tena na nini umbali wake toka centre maarufu ya mji na umbali wa viwanja na barabara?; Je Ekari moja au nusu Ekari wauza?
 
Wilaya ya temeke, sehemu za kigamboni. Kama nimekosea naomba muanzisha thread anisahihishe.
 
kweli Tanzania tumeshaguwa wazee wa vijicent. mamilioni ni bei ya kutupwa?
 
kweli Tanzania tumeshaguwa wazee wa vijicent. mamilioni ni bei ya kutupwa?
si mwataka vya karibu na bahari?? liweni mi nipo mpelamumbi kibaha. eneo bado jipya linatafuta wakaazi ekari elfu hamsini tu. umbali km 27 toka highway dar moro unashuka vigwaza perto station unachukua boda boda hadi kijijini aaah mambo muswani duuu....
 
ngala moja nipe contacts za huko ulipo basi nije na mimi nipate shamba kidogo??
 
ngala moja nipe contacts za huko ulipo basi nije na mimi nipate shamba kidogo??
mkuu ukweli ni kuwa ni makaazi mapya na wenye visenti hawajavamia maana wao wanaona mashamba ya barabaran tu. ok nitakupa no y mwenyekiti uongee naye na majibu utayoyapat weka hapa jamvini ili tuwe wengi. nitaku pm
 
Ndio maana nchi za watu wenye akili timamu pesa chafu inapigwa vita sana...hike yote hii ni kwasababu ya rushwa iliyotamalaki na ufisadi wa kutisha..hii ni hatari sana
 
si mwataka vya karibu na bahari?? liweni mi nipo mpelamumbi kibaha. eneo bado jipya linatafuta wakaazi ekari elfu hamsini tu. umbali km 27 toka highway dar moro unashuka vigwaza perto station unachukua boda boda hadi kijijini aaah mambo muswani duuu....

Ni PM namba yako nahitaji heka 60.
 
mkuu ukweli ni kuwa ni makaazi mapya na wenye visenti hawajavamia maana wao wanaona mashamba ya barabaran tu. ok nitakupa no y mwenyekiti uongee naye na majibu utayoyapat weka hapa jamvini ili tuwe wengi. nitaku pm
mkuu nsuri nimejipa umaarufu kumbe sijaruhusiwa kutuma pm maana bado mchanga sijafikisha post tano. kama vipi kamata no yangu nikusendie ya mwenyekit. mkuu utapenda ukipata wanagawa ekari kumi kumi 0787775240
 
Back
Top Bottom