Plot4Sale Viwanja Morogoro

NAKA 7

New Member
Nov 3, 2013
4
1
Viwanja vinauzwa mkundi sheli vina sifa zifuatazo:-
1: vimepimwa
2: umeme upo karibu
3: vipo karibu na hospitali ya wilaya
4: vipo karibu na huduma za maduka makubwa
5: vipo karibu na mashule mbali mbali
6: sehemu vilipo pamejengeka vizuri nyumba za hadhi
7: ardhi ni tambarale hutaingia gharama za ujenzi wa msingi .
8: bei ni kuanzia milion 5 na laki mbili kwa kiwanja chenye ukubwa wa sqm 694 au 20 kwa 37, vipo viwanja hadi vya sqm 1000 au 27 kwa 41\

Wasiliana kwa 0652644084/0734443403


IMG_20211206_165649_866.jpg
IMG_20211213_112558_643.jpg
IMG_20211125_183701.jpg
 
Mkuu, una maeneo ambayo yamepangwa kwa ajilli ya matumizi ya huduma za kijamii Mfano.. Huduma za Afya? Hapo Manispaa Morogoro.
Kama ni NDIO... Naomba kujua Rate ya bei na eneo liko wapi.
 
Nyumba inauzwa morogoro maeneo ya chamwino 10M

Kwa mawasiliano 0719534334 ( muuzaji/ mwenye nyumba
Screenshot_20220422-152617_Gallery.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom