Viwanja Mkuranga/Vikindu bei gani?

Viwanja Mkuranga/Vikindu bei gani?

The_Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
243
Reaction score
86
Wasalaam wana-JF,

Nataka kununua shamba la hekari nne Mkoani Pwani, Mkuranga/Vikindu.

Wadau kuna mtu ambaye anajua gharama kwa hekari ni shingapi (market value ya heka) kwa sasa.

Natanguliza shukrani.
 
Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko????
Na msata je?
 
Wadau pleeze yani hakuna hata mmoja mwenye idea za bei ya mashamba pande za huko????
Na msata je?




NENDA RUFIJI MUHORO UTASTAAJABU, MASHAMBA NI BEI RAHISI MNO, MIMI NIMENUNUA SHAMBA LA HEKA 20 KWA SHILINGI LAKI TANO TU.:majani7::majani7:
 
Huko mkuranga Kiwanda cha azam kishaharibu huko.bei zimepanda utafikiri ni DSM.Mfano plot ya 20x20 wanakwambia 1.5m hadi 2m
mashamba nenda Ruvu au Rufiji au morogorgoro ndio bei rahisi sana
 
Luna thread moja inahusu mashamba katika wilaya ya Kisarawe. Unaweza muuliza mleta mada kama unaweza pata huko kwa bei poa.
 
Back
Top Bottom