Mkuu maeneo makubwa kuanzia hekari kumi mpaka ishirini kwa ukanda wa bagamoyo karibu na barabara yabapatikana kwa bei gani???
Asante sana mkuu kwa information hii,mkuu nenda mwenyewe jionee eka kule bagamoyo unapata kwa mil.2 bei ya juu hata hayo maeneo ya kiromo,nzinga,kerege fika bmoyo town then make your own investigation
Mkuu ipo hekari 10 ina hati maeneo ya Kilomo njia ya Bagamoyo, inahitaji 600m.
mkuu nenda mwenyewe jionee eka kule bagamoyo unapata kwa mil.2 bei ya juu hata hayo maeneo ya kiromo,nzinga,kerege fika bmoyo town then make your own investigation