Shamba kubwa la eka nane na nusu Mbezi/Msumi 6Km toka Morogoro Road, Kuna banda zuri la mifugo laweza kugeuzwa nyumba ya kuishi, lina minazi miti ya miembe.Linastawisha kila kitu juu ya ardhi na pia lina bonde lenye maji ya kutosha kumwagilia. Barabara inafika hadi shambani. Bei ni maelewano. Dalali ni msamiati mgumu!! Hawatakiwi. Waweza kuni-PM :A S 100: