Kaduguda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2008
- 724
- 643
1. Shamba linauzwa maeneo ya Mwasonga mbele ya Dar es Salaam Zoo, kama kilometa 40 kutoka Ferry Kigamboni, Wilaya ya Temeke. Shamba lina minazi ambayo mnunuzi anaweza kuvuna na miembe. Ukubwa wake ni hekari 10 na bei yake ni Milioni 70 fedha za kitanzania, maelewano yapo.
2. Kuna kiwanja kinauzwa hekari 3 huko huko maeneo ya Mwasonga kata ya Kisarawe manisipaa ya Temeke bei yake ni 19,500,000/ fedha za kitanzania kwa hekari zote. Kama huna uwezo wa kuchukua hekari zote tatu tunaweza kuongea kulingana na uwezo ulio nao
3. Kuna hekari 18 zinauzwa zinaanzia baharini hekari mbili na kupandisha nchi kavu maeneo ya Puna kata ya Pemba Mnazi wilaya ya Temeke eneo zuri kwa ajili ya kujenga hoteli ya kitalii, au shule nk. Bei yake ni Milion 350 fedha za kitanzania na bei inaweza kupungua.
Viwanja vyote hivyo havijapimwa lakini naweza kukuunganisha na Mtu wa ardhi ukapata huduma ya kupimiwa eneo lako pasipo usumbufu. Kwa mtu yeyote ambaye ana uhitaji anaweza kuwasiliana na mimi kwa namba hizi 0652-753322 au 0767549254.
Tafadhali usitume PM mawasiliano yote ni kwa simu au SMS.
Asante