Viwanja kiluvya majumba sita

Remen Robert

Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
18
Reaction score
8
Habari Ndugu Mtanzania,
REMMYS BRAND tunakuletea ofa maalum ya viwanja vipo Kiluvya Majumba Sita

Bei: Milioni Moja na Laki Tano tu.(1,500,000/=) Ukubwa mita 20 upana na mita 20 urefu.
Viwanja vimepimwa na gharama za hati ni juu ya mteja mwenyewe.

Muda wa Malipo:Miezi Mitatu, Mazungumzo yapo

Karibu sana Tukuhudumie
Simu: +255 659 97 28 68
 
Mkuu Tangazo alijakamilika.Ukubwa wake,umbali toka Moro road na walau picha kusindikiza Tangazo Mimi ninakitaka kimoja Kama utakamilisha hivyo vitu.Kwa bei hiyo basi havijapimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…