Viwanja Kigamboni karibu na Lugwadu

Viwanja Kigamboni karibu na Lugwadu

Mathematician

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2009
Posts
327
Reaction score
111
Vipo Kigamboni/Lugwadu. Heka mbili (approx) zote ziko barabarani. Moja 10M na nyingine ni 8M. Ukitaka ukatiwe plot ndogo tutakukatia robo kwa 3M (itakuwa around 1225SQM).

Nipigie kwa maelezo zaidi.

0714620265
 
Ni umbali gani kutoka ferry
Ni mbali sijui umbali wa KM ngapi. Ni Lugwadu. Unapitia mwembe mtengu kama unakujua. Ni plots nzuri sana. Hiyo hela yaani ni karibu na bure...
 
Back
Top Bottom