pia NAUZA changu hapa kiluvyaNakuja kukichukua fasta bei ya kuokota hiyo
Mambo sio rahisi hivyo kama ulivyoandikaMkuu usibishane na mimi. Nina viwanja 3 20*20 makabe nilinunua kwa m. 5, ukitaka m 7 nakuuzia hio 3 m ya juu kanunulie tofali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye maji kweli aisee mana tunasomba na magari huku. Huku hatuna mwakilishi kabisa
Nenda na milioni mbili yako mkuu Kibaha, unaweza kubahatika kupata liuwanja,
Mkuu ulitaka wafanye kazi ya kijijitatizo la viwanja madalali wanaongeza sana cha juu
Huko siendi sina mpango wa kukaa pwani niko lazi nijenge mpakani kati ya Dar na pwani.Nenda na milioni mbili yako mkuu Kibaha, unaweza kubahatika kupata liuwanja,
Afu ukishanunua uni tag
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiluvya yenyewe anakoishi Mh. Sumaye na makurunge, na hospitali ya Mloganzila yoote ni wilaya ya kisarawe mkoa wa pwani na uwezi jua Dar wapi Pwani wapi! Ondoa mindsetHuko siendi sina mpango wa kukaa pwani niko lazi nijenge mpakani kati ya Dar na pwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka popote ardhi hupanda kutokana na maendeleo yanayoonekana sehemu husika,ujenzi wa barabara ya Morogoro unaoendelea unaosadikika utasaidia kuondoa msongamano ktk njia hiyo pamoja na kuhamishiwa stand ya buses za mikoani hapo Mbezi ambapo ni kama jirani na Kibaha umewaamsha sana akili wauzaji wa viwanja.Hii bei ni ya mbezi makabe huko kibaha hata 3,000,000 bado ni uonevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina mji huku mjini ndo mana ninakijiburi kidogo ni mbwembwe tuKiluvya yenyewe anakoishi Mh. Sumaye na makurunge, na hospitali ya Mloganzila yoote ni wilaya ya kisarawe mkoa wa pwani na uwezi jua Dar wapi Pwani wapi! Ondoa mindset
Ila maji kuna baadhi ya sehemu Makabe yapo,ukianzia wanapopaita kwa Biligenda kurudi St Ann's School kuna maji ya bomba vuruga kote mpaka kule kwa Moyo tatizo sijui ninini kuendelea mbele baada ya maeneo haya.Hapo kwenye maji kweli aisee mana tunasomba na magari huku. Huku hatuna mwakilishi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu weka tangazo vizuri , kina ukubwa gani, kiluvya wapi, bei yako n.k n.k. Picha kama ukiweza
Ila maji kuna baadhi ya sehemu Makabe yapo,ukianzia wanapopaita kwa Biligenda kurudi St Ann's School kuna maji ya bomba vuruga kote mpaka kule kwa Moyo tatizo sijui ninini kuendelea mbele baada ya maeneo haya.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
sawa mkuuuMkuu weka tangazo vizuri , kina ukubwa gani, kiluvya wapi, bei yako n.k n.k. Picha kama ukiweza
Sent using Jamii Forums mobile app
Makurunge ni 4km toka moro road mkuu, pande karibia na kwa waziri staaafu sumaye, milion tatu unapata kiwanja safi kabisa, hyo 10km unayosema ni hko mbele kabisa wanapaita mwanakondoo, na kwa gwajima.Mzee Kiluvya ya wapi hiyo, unapata hicho kiwanja!???,
Kiluvya viwanja vinaanza kupatikana Kilometer 10 kutokea Morogoro road,
Kuna sehemu inaitwa Makurunge,
Kiwanja 20 kwa 20 unapata kwa Milioni 5 huko,
Mzee hizi biashara za viwanja watu kama wamekuwa wanaambiana sasa bei zake,
Maana kila sehemu nilipoenda na ki milioni mbili changu watu walikua wanakaza, wanasema angalau ningekua na 3M,
Kiujumla hivi sasa ardhi imepanda thamani sana
Sent using Jamii Forums mobile app