Car and Spear dealer
Member
- Nov 21, 2019
- 83
- 44
Nakuja kukichukua fasta bei ya kuokota hiyoHabari wadau,
Kuna viwanja Kibaha kata ya Kongowe Kitongoji Cha Kigelo
Viwanja vilipo ni umbali wa Kilometer 2 kutokea Morogoro Road
Huduma za maji na umeme zote zipo
Bei ya kiwanja ni TZS 4,000,000 kwa mita za mraba 400
Tuwasiliane kwa 0693 347206
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Makabe hakuna maji tatizo kubwa hukoHii bei ni ya mbezi makabe huko kibaha hata 3,000,000 bado ni uonevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbezi makabe upate kiwanja kwa 3mil? Angalia usije ukapigwa. Huko kiwanja cha 20 by 20 au 400 square meter sio chini ya mil. 10. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Kibaha na vitongoji vyake kiwanja cha aina hiyo bei ni kuanzia 3.5mil. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Wateja mnapotafuta viwanja inabidi mjifunze kujua bei elekezi ukitaka kitonga utapigwa.Hii bei ni ya mbezi makabe huko kibaha hata 3,000,000 bado ni uonevu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaha kwa 4m bado, labda iwe ni karibu na center karibu na mji na iliyochangamka kibiashara, milion tatu Kiluvya unapata square mita 500 kwa milion 3.yaan 25 kwa 25.Mbezi makabe upate kiwanja kwa 3mil? Angalia usije ukapigwa. Huko kiwanja cha 20 by 20 au 400 square meter sio chini ya mil. 10. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Kibaha na vitongoji vyake kiwanja cha aina hiyo bei ni kuanzia 3.5mil. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Wateja mnapotafuta viwanja inabidi mjifunze kujua bei elekezi ukitaka kitonga utapigwa.
Mkuu usibishane na mimi. Nina viwanja 3 20*20 makabe nilinunua kwa m. 5, ukitaka m 7 nakuuzia hio 3 m ya juu kanunulie tofali.Mbezi makabe upate kiwanja kwa 3mil? Angalia usije ukapigwa. Huko kiwanja cha 20 by 20 au 400 square meter sio chini ya mil. 10. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Kibaha na vitongoji vyake kiwanja cha aina hiyo bei ni kuanzia 3.5mil. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Wateja mnapotafuta viwanja inabidi mjifunze kujua bei elekezi ukitaka kitonga utapigwa.
Sawa mkuu. Ila kibaha km 2 toka lami mil hizo unatuumizaKuongea ni rahisi! Njooo na hiyo mil. 3 yako uone kama utapata 25by25 square meter 625. Nasema ukipata jua kina migogoro au bondeni au mkondo wa maji unapita hapo! Au unapigwa kwa kuuziwa mara mbili, tatu, n.k. Kati ya vitu ambavyo havishuki bei kirahisi hata kipindi hiki cha JPM ni viwanja! Usichukulie poa!
Mwanzo umesema milioni 3 . Kama kuna vya tatu weka namba tukanunue na sisi.Mkuu usibishane na mimi. Nina viwanja 3 20*20 makabe nilinunua kwa m. 5, ukitaka m 7 nakuuzia hio 3 m ya juu kanunulie tofali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema mil 4/3 kwa kibaha na hali hii ya uchumi bei sio rafikiMwanzo umesema milioni 3 . Kama kuna vya tatu weka namba tukanunue na sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Respect mkuu kumbe wewe ni guru wa viwanja. Ukiwa na vile vipo jirani na barabara nitagHapana mzee! Nimekaa kwenye hii biashara muda mrefu naifahamu vizuri. Hakuna kitu ambacho waliowahi kuwa na maeneo hawauzi kirahisi kama viwanja. Ninafanyabiashara ya kununua heka kwa mtu alafu nakata viwanja na kuuza. Nakuambia hii biashara ni ngumu asikwambie mtu. Ukinunua ndani ndani bei rahisi hakuna huduma ya jamii hupati wala haji mtu. Sehemu inayofikiwa na barabara, maji umeme unanunua heka mil. 20 hadi 25 unadhani ukikata na kutoa barabara za mtaa unapata viwanja kati ya 10 hadi 12 ukiuza chini ya 3.5mil hupati kitu! Na kuuza kwenyewe kwa mbinde!
Nakuja kukichukua fasta bei ya kuokota hiyo
Sitasahau Mbezi Makabe, tuliuziwa kiwanja kimoja watu wawili tofauti,Hii bei ni ya mbezi makabe huko kibaha hata 3,000,000 bado ni uonevu
Sent using Jamii Forums mobile app
MhMbezi makabe upate kiwanja kwa 3mil? Angalia usije ukapigwa. Huko kiwanja cha 20 by 20 au 400 square meter sio chini ya mil. 10. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Kibaha na vitongoji vyake kiwanja cha aina hiyo bei ni kuanzia 3.5mil. Chini ya hapo unalengeshwa kupigwa. Wateja mnapotafuta viwanja inabidi mjifunze kujua bei elekezi ukitaka kitonga utapigwa.
broo karibu Mimi pia nauza changuMwanzo umesema milioni 3 . Kama kuna vya tatu weka namba tukanunue na sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu usinunue kwa mtu nunua vile vimepimwaSitasahau Mbezi Makabe, tuliuziwa kiwanja kimoja watu wawili tofauti,
Dah ni shida mazee,
Usiombe ikukute hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Kiluvya ya wapi hiyo, unapata hicho kiwanja!???,Kibaha kwa 4m bado, labda iwe ni karibu na center karibu na mji na iliyochangamka kibiashara, milion tatu Kiluvya unapata square mita 500 kwa milion 3.yaan 25 kwa 25.
Sent using Jamii Forums mobile app